Tuesday, December 13, 2011

NYUMBA NI PAZIA

hii pazia ukiweka kwenye nyumba ambayo ina complete makoch black ukuta mweupe its super luber karibu bado unayo nafasi naweza kuku tengenezea ukapendezesha home kwako.

 MIto hiyo ni ya inafanana exactly ma pazia inahamasisha mvuto pia nyumba ni starehe jamani.
Jamani nyuna ni starehe muda mwindi unakuwa umeshinda officin akili imechoka unahitaji upumzike sehemu tulivu na safi.pazia kama pazia inachangia kwa asilimia60% katika kuhamasisha utulivu wanyumba.uwekaji wa pazia inategemea na rangi ya nyumba asset zako kama makochi,carpert na nk.unaweza ukawa haujaweka vitu vitu vya ghalama kubwa lakini vikabwebwa na mapazia uliyo weka na muonekano ukawa supper.

Nimuhimu sana kujari nyumba yako kwa usafi na mpangilio si lazima nyumba iwe kubwa hatandogo pia inafaa mimi ni mama nilieamua kubadilisha nyumba iwe sehemu ya kukimbilia katika khali yoyote.mvuto,usafi,mpangilio.

No comments:

Post a Comment