Tuesday, December 27, 2011

DINNINGI NA MPANGILIO WAKE


DINNING NA MPANGILIO WAKE.
Leo tunaongelea sahemu ya kulia hakula upande wa dinning.mpangilio wa vitu muhimu tu unahitajika na kuzuia mrundikano wa vitu mahali hapo kwani huonekana ni uchafu ni vyema kuwepo na meza,viti.kabati pia liwe na vyombo hata kama vichache vipangwe kwa mpangilio mzuri.dinning sio store jamani utakuta kwenye kabati kuna hadi unga lol!weka maua yasiwe mengi,fremu zipo maalum za dinning'pazia zinazo endana na madhari ya dinning hiyo.utamu wa chakula sio mapishi unachangiwa pia na mazingira yako unayo lia chakula.fatilia mfano wa dinning hizi unaweza pata A,B,C jinsi ya kuweka dinning kwako.twende sasa..........
meza ya chaula unaweza ifunika kuleta mvuto zaidi zingatia narangi ya pazia yako ili kuleta hamasa zaid.



 dinning si lazima iwe kuubwa nunua asset zinazoendana na eneo lako na jitahidi kuweka vitu vichache na vya maana .
unaweza uka decolate viti vyako si lazima kwenye sherehe hata ndani kwako pia unaweza match na pazia pia.


pazia zinaraha yake kama unavyoona ni flat haijajaa sana lakini imependeza unaweza match na kitambaa cha meza kwa mvuto zaid.









No comments:

Post a Comment