Friday, December 30, 2011

vivazi vya ukweli vinafaa kwa mtoko na officin

kwa wale wenzangu na mie wapenda gauni hizi gauni ni fashionable unaweza vaa mtoko na ofcn pia.una weza valia high hill na flat shoe la kini iwe ya ukweli .


Wednesday, December 28, 2011

SHOES,SHOES IN!

ni vizuri kuwa tunapeana what si in.




i cant imagine uweke kiatu hiki na nguo bomba.kiatu kilefu kinakufanya upendeze kwani kkina lift up your hip.je unatatizo la kushindwa kutembelea viatu virefu?unapenda vaa viatu virefu ila unashibdwa comment hapo chin mdau tusaidiane nijinsi gani utaweza tembelea viatu vurefu.

Tuesday, December 27, 2011

DINNINGI NA MPANGILIO WAKE


DINNING NA MPANGILIO WAKE.
Leo tunaongelea sahemu ya kulia hakula upande wa dinning.mpangilio wa vitu muhimu tu unahitajika na kuzuia mrundikano wa vitu mahali hapo kwani huonekana ni uchafu ni vyema kuwepo na meza,viti.kabati pia liwe na vyombo hata kama vichache vipangwe kwa mpangilio mzuri.dinning sio store jamani utakuta kwenye kabati kuna hadi unga lol!weka maua yasiwe mengi,fremu zipo maalum za dinning'pazia zinazo endana na madhari ya dinning hiyo.utamu wa chakula sio mapishi unachangiwa pia na mazingira yako unayo lia chakula.fatilia mfano wa dinning hizi unaweza pata A,B,C jinsi ya kuweka dinning kwako.twende sasa..........
meza ya chaula unaweza ifunika kuleta mvuto zaidi zingatia narangi ya pazia yako ili kuleta hamasa zaid.



 dinning si lazima iwe kuubwa nunua asset zinazoendana na eneo lako na jitahidi kuweka vitu vichache na vya maana .
unaweza uka decolate viti vyako si lazima kwenye sherehe hata ndani kwako pia unaweza match na pazia pia.


pazia zinaraha yake kama unavyoona ni flat haijajaa sana lakini imependeza unaweza match na kitambaa cha meza kwa mvuto zaid.









Thursday, December 22, 2011

KUTOKANA NA JANGA LA MAFURIKO TUUNGANE KUWASAIDIA WATOTO NA KINA MAMA HAWA.

WADAU PLZ HII NI ADHA KUBWA JIJINI TUNAHITAJIKA KUSAIDIA WENZETU WALIOATHIRIKA.....KUNA VITUO VIMETENGWA RASMI AMBAKO WAATHIRIKA WAKO HUKO WATU ZAIDI YA KUPOTEZA NDUGU WAMEPOTEZA NA MALI PIA, HAWANA MAKAZI,MALAZI WALA CHAKULA

UNAOMBWA WEWE USAIDIE CHOCHOTE ULICHONACHO KUANZIA CHAKULA ,MAVAZI, MADAWA NA PESA KAMA UJUAVYO PANAPOTOKEA  MAJANGA NA WANAPOKUSANYIKA WATU
VITUO NI SHULE/ SEKONDARI YA
 AZANIA
MSIMBAZI
MCHIKICHINI
KIBASILA
MZAMBARAUNI
UHURU MCHANGANYIKO
RUTIHINDA
HANANASIFU
                                                                     MAGOMENI


KULALA NI STAREHE JAMANI.

 
click picture to get more
Cchumba cha kulala nimuhimu sana kuwa na mpangilio wa vitu ili  kuwe na muonekano wa kutosha na hewa safi.

Mapazia ni pambo moja wapo la chumba hukifanya kionekane na vuto na hufanya mtu awe confortamble na mazingira ya chumba.kama chumba ni kikubwa kuna vitu muhimu ya kuweka kama kiti au koch kwani si lazima mda wote ukae kitandani unaweza kaa kwenye kiti na ukafanya mambo yako mengine.



click picture to get more